Mashindano ya vitambi

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,563
Nimeiokota mtandaoni,ukipiga picha ukaitupia mtandaoni basi ujue sio mali yako pekee bali ya jamii nzima,sorry kwa wahusika ila duh haya mashindano si ya mchezo
17126188_1219261678169096_1132612652963463168_n.jpg
 
Hahaa jamani,kuna bia humo,michemsho,kitimoto lazima tumbo lijae
Huko Sumbawanga ole wako umjaze mtoto wa mzee wa kijiji mimba halafu uikatae!... anaipandikiza kwako!... Huenda huyu jamaa anayapitia hayo ya Sumbawanga!... kama hiyo ni beer soote tungekuwa na vitambi!...
 
yani ukiskiaa pambio la tenda miujiza usiache bwana mwaka upite bila kutenda miujiza ujue oohoo tayariiiii
 
Back
Top Bottom