Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,627
- 3,721
Hao jamaa ni kiboko mzee mimi kujilaza tu masaa matatu kama sio muda wa kulala naona shida yanini nijitese hivo kwa sh, 2m😂😂😂 saa mia nne ni kama siku ngapi
Wapi umechambwa au umesemwa vibayaHivi nikuulize Kwani wewe umeleta taarifa au umekuja kuchamba watu
🤣🤣🤣Hii imeendaKwani si uandike vizuri unakimbizwa??
UVUVI au UVIVU?
Maana kanichanganya.🤣🤣🤣Hii imeenda
Ni UVIVU typing error tu🧐Maana kanichanganya.
OkayNi UVIVU typing error tu🧐
Hapo mwisho umemaliza vibaya nikwambie tu mkuu achana na maisha ya watuWapi umechambwa au umesemwa vibaya
Umepanick mkuu ANGALIA tenah unachokiongea kipo .....kuwa mdadisi sio mhukumuHapo mwisho umemaliza vibaya nikwambie tu mkuu achana na maisha ya watu