mashindano ya miss chitchat week hii ya trh 14-18

piga kura shemeji,umeambiwa kama unajikubari jipigie kura,kama hujikubari unampigia unaye mkubali we shem vp kaz kuniwangia tu

Heheheh mdomo uliponza kichwa leo najuuuta mim uwiiii ah mi mke wa mtu na sifa za miss yabid awe hajaolewa sasa mi tayari mke wa jg ila si haba weng wape hata mi naona taji hili lamfaa cacico mie ntakuwa kwenye category nyingne.
 
Wakubwa
Leo anasakwa mwanachitichat ambaye ni zaidi ya mwingine,afu huyu ndio atakua miss chitchat wa week hii.utapendekeza jina moja kati ya hawa,mwisho ni ijumaa saa sita kamili mchana baada ya hapo atachaguliwa mwingine kwa ajili ya week ijayo.kwa leo ni hawa hapa watano jukwaani, tunaye Catherine CUTE beibe nasty Kongosho cacico
utataja jina moja tu na sababu kwa nini umependekeza jina hilo na utaeleza kwanin umevutika naye
nawasilisha
alokwambia Kongosho ni mdada nani?
Mwenzio anavaa boxers,shauri lako.
 
Last edited by a moderator:
Heheheh mdomo uliponza kichwa leo najuuuta mim uwiiii ah mi mke wa mtu na sifa za miss yabid awe hajaolewa sasa mi tayari mke wa jg ila si haba weng wape hata mi naona taji hili lamfaa cacico mie ntakuwa kwenye category nyingne.

Hapa mtoa mada katuletea fitna competitors hawajakaa njema! Mf. Mie umenchanganyia wife na sisterinlaw!
Basi nikate pua niunge wajihi am just follow my wife footprints my vote to Casico! Next time seek advice to select contestants! Who takes part in a competitions, si ndiyo ?
 
Kura ya turufu ya babu inamwangukia mke wangu cacico kwasababu ni mzuri, mtamu, ana tabia njema, nampenda sana afu ni mke wangu. Next time usimweke Kongosho na wake zangu wengine... Huyu ni mkongwe mwenzangu haifai kushindanishwa na vichipukizi.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikusamehe sitaki kusema ulipo kuwa!

Kura ya turufu ya babu inamwangukia mke wangu cacico kwasababu ni mzuri, mtamu, ana tabia njema, nampenda sana afu ni mke wangu. Next time usimweke Kongosho na wake zangu wengine... Huyu ni mkongwe mwenzangu haifai kushindanishwa na vichipukizi.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada naomba kuuliza swali! Mpiga kura anaruhusiwa kupiga kura zaidi ya mara moja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom