mashindano ya miss chitchat week hii ya trh 14-18

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakubwa
Leo anasakwa mwanachitichat ambaye ni zaidi ya mwingine,afu huyu ndio atakua miss chitchat wa week hii.utapendekeza jina moja kati ya hawa,mwisho ni ijumaa saa sita kamili mchana baada ya hapo atachaguliwa mwingine kwa ajili ya week ijayo.kwa leo ni hawa hapa watano jukwaani, tunaye Catherine CUTE beibe nasty Kongosho cacico
utataja jina moja tu na sababu kwa nini umependekeza jina hilo na utaeleza kwanin umevutika naye
nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Nampendekeza babyface cacico apepelushe bendera ya chichat week hii kwakua ni mwenye mvuto,msafi,mtamu,mpole na mwenye nidhamu ndani na nje ya chitchat
 
Last edited by a moderator:
Mi kura yangu kwa beibe nasty kwakua anavutia vile anavyo komenti kwa kujiskia,ingawa hana ukalimu lakn anamvuto na anafaa kuwa miss chitchat wa week
 
Last edited by a moderator:
Mie kwanza nikae kimya!
Ingawaje "mcheza kwao hutunzwa!"
Btw When all speaks, the results will be none hears !!
 
Mi kura yangu kwa beibe nasty kwakua anavutia vile anavyo komenti kwa kujiskia,ingawa hana ukalimu lakn anamvuto na anafaa kuwa miss chitchat wa week

Una akili wewe ujue!
Unakunywaga soda gani ?
Awali nikakudhani umivaa miwanimbao!
Kumbe umivaa miwani full-kioo!
 
Last edited by a moderator:
mmmmmh natazama tuu mwenzangu maana hapa damu yakunguni ndo zimetawala heheee haya jaman mseme sasa.angalizo sijipigii debe
 
kura yangu inaenda moja kwa moja kwa Kongosho! Kwa sababu jina lake linanifanya niendelee kulinda viungo vyangu hasa kongosho! Pili nampa kura sababu ni shemeji! Tatu ana kipaji cha kuigiza mtakuwa mashaidi wangu kama mnafatilia comments na post zake. Shindano lijalo asikose baby wangu Madame B najua ataibuka kidedea
 
Mie kwanza nikae kimya!
Ingawaje "mcheza kwao hutunzwa!"
Btw When all speaks, the results will be none hears !!

Judgement kura yako nimuhimu sana please vote anyone hata kama si shemeji we chagua tu
 
Last edited by a moderator:
mmmmmh natazama tuu mwenzangu maana hapa damu yakunguni ndo zimetawala heheee haya jaman mseme sasa.angalizo sijipigii debe

no!no!no!.... beibe nasty unaruhusiwa kujipigia kura na unaweza kujipigia kampeni kwan mashindano haya unayadharau lakni utamu wa ushindi unakuja
 
Last edited by a moderator:
Yaaaani unanishindanisha na wifi yangu beibe nasty! Itakuwaje hapo? Mi naomba nitolewe kwenye haya mashindano (hapa nalinda maslahi ya ukoo).
 
Yaaaani unanishindanisha na wifi yangu beibe nasty! Itakuwaje hapo? Mi naomba nitolewe kwenye haya mashindano (hapa nalinda maslahi ya ukoo).

sio hivyo Catherine hapa ni mashindano tu unaweza mpigia hata mmoja unaempenda kama hujikubali,kama unazani mawifi zako wanakufunika basi chagua mmoja umpigie kura
 
Last edited by a moderator:
Kura yangu nampa bibi yangu cacico. Ana kila sababu maana ni mchesi sio mjeri hasa kwa wajukuu zake!
 
Last edited by a moderator:
heheeeee jamani iwish tungeweka pic ili tujue nan anasifa za umiss cc heheeeee ila mi ninaomba hili shindando lihairishwe jaman mi najua jg, cathy wamempiga nan na hata nasty mwenyewe ila mie sihitaj mashindano jaman mweeeh toen ushind hata wa mezan mi im read
 
yaani hapa asiposhinda niliye mchagua basi ni bora ashinde yoyote yule lakini si shemeji yangu beibe nasty maana mmmh atavimba kichwa.
jamani naombeni tumpigie kura cacico ,jamani jitokezen tumpigie kula,bado kura ya St. Paka Mweusi Erickb52 tafadhari tunaomba kura hizo kwa cacico
 
Last edited by a moderator:
heheeeee jamani iwish tungeweka pic ili tujue nan anasifa za umiss cc heheeeee ila mi ninaomba hili shindando lihairishwe jaman mi najua jg, cathy wamempiga nan na hata nasty mwenyewe ila mie sihitaj mashindano jaman mweeeh toen ushind hata wa mezan mi im read

piga kura shemeji,umeambiwa kama unajikubari jipigie kura,kama hujikubari unampigia unaye mkubali we shem vp kaz kuniwangia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom