Tatizo linaanza darasa la 4, mchujo watakiwa uanzie hapo.
Hakuna sifa kupeleka namba kubwa isiyo na faida.
Wachaguliwe wachache wenye sifa
Hata kama wameanza 1.3mil darasa la kwanza, kama hawajui kusoma na kuandika ikifika darasa la 4 warudie.
Hapo watabaki 700,000
Hao laki 7,
Darasa la 7 wachekeshwe tena ili wabaki 500,000
Hawa watakuwa bora
Hao 500,000 wachujwe Form 2
Wabaki 300,000
Hao Laki 3 wachujwe wabaki 100,000
Hao ndo waende vyuo vikuu