Ndio maana ule uamuzi wa kuzuia kutangaza ma TO nimeupenda sana, haileti mantiki kushindanisha shule na wanafunzi kwa mazingira haya, kwa scenario hii umeandika hapa automatically shule kama hii lazima ishike tu mkia au nafasi za chinj sana miaka yote au kutokuja kutoa TO milele na milele.Hii ni special case. Wanafunzi 1032 kwa darasa moja ni wengi sana. Hapo unapata mikondo 26 kwa wastani wa wanafunzi 40 kila mkondo. Shule kama Tanga Tech, Moshi Tech, Ilboru, Mzumbe na zingine za kitaifa huwezi kuta kwenye darasa moja kuna wanafunzi zaidi ya 50. Hao wa kata hawatendewi haki. Hapo wanafunzi 1032 unakuta kuna waalimu wasiozidi 10 wakati ilitakiwa wawe zaidi ya 50. Kwenye practicals waliingia kwa session ngapi?
Viongozi wa wanaojinadi kumsaidia Mama Samia kazi wajitafakari upya. Kusimama majukwaani na kutoa sifa kwa mama ni kama kichaka chenu cha kuficha madhaifu yenu. Leo siwalaumu hao vijana zaidi ya 400 waliopata sifuri. Kulikuwa hakuna namna.
Usisahau panya road.Aliyekwambia wanaoleka nani? Hao wadangaji na boda boda wazuri tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzigo ulikua unachiwa kwny gazeti ***** mtaa mzima wanajua umezunguka.....!Zama hizi WASTAARABU, wanaficha mpaka majina. Enzi zetu ilikua unaenda kuangalia matokeo shuleni ukiwa umekula MZINGA unakuta wadau wameshazungushia DUARA kwenye jina lako.
Nikajua dodoma makao makuu ya nchi aisee[emoji4]Taifa la Tanzania, jiji la Dar Es Salaam
[emoji38][emoji38][emoji38]Mafunzo ya Mgambo mwaka huu watapata wengi
Hamna loloteNi wakati Sasa Zanzibar kuwa na Baraza Kamili la Mitihani. Dhuluma hii haivumiliki.
Mwaka huu madogo wamefail.View attachment 2499861
Mwaka huu ni aibu.!
Wengine hawa
Dah![emoji26]View attachment 2499861
Mwaka huu ni aibu.!
Jaman kwann wasioleke?Usisahau panya road.
Iv mwaka huu wanaume tumepgwa chini?Wanaume wameachwa nyuma na watoto wakike
Aisee ni changamoto life lenyewe gumu.Ndio maana ule uamuzi wa kuzuia kutangaza ma TO nimeupenda sana, haileti mantiki kushindanisha shule na wanafunzi kwa mazingira haya, kwa scenario hii umeandika hapa automatically shule kama hii lazima ishike tu mkia au nafasi za chinj sana miaka yote au kutokuja kutoa TO milele na milele.
Sasa madogo hao 400+ wanaingia mtaani, waanze kujitafuta na hii life ya kibongo, kazi ipo si mchezo
Laiti wangetoa matokeo na majina tungeduwaa Kwa hujuma ambazo watoto wetu wanafanyiwaNdio maana ule uamuzi wa kuzuia kutangaza ma TO nimeupenda sana, haileti mantiki kushindanisha shule na wanafunzi kwa mazingira haya, kwa scenario hii umeandika hapa automatically shule kama hii lazima ishike tu mkia au nafasi za chinj sana miaka yote au kutokuja kutoa TO milele na milele.
Sasa madogo hao 400+ wanaingia mtaani, waanze kujitafuta na hii life ya kibongo, kazi ipo si mchezo
Ni wakati Sasa Zanzibar kuwa na Baraza Kamili la Mitihani. Dhuluma hii haivumiliki.
Iundwe tume wajumbe 250 (125 bara, 125 visiwani) ichunguze hizi hujuma
Iundwe tume wajumbe 250 (125 bara, 125 visiwani) ichunguze hizi hujuma
Hujuma ipo wapi hapo ?Iundwe tume wajumbe 250 (125 bara, 125 visiwani) ichunguze hizi hujuma
We komaza tu hilo fuvu. Tuseme huoni hujuma bado?Hujuma ipo wapi hapo ?
Wilaya ya TemekeView attachment 2499861
Mwaka huu ni aibu.!