Mashekhe wetu Katika Uislamu - Tahadharini

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Baadhi ya Mashehe sasa wamekuwa wakijiingiza katika mambo ya aibu ndani ya mitandano na youtube Tvs. kwa kweli kinachoingia mjini na wao utawaona wapo katikati na haswa haya mambo wasanii ,utawaona wapo msitari wa mbele na wao wakitowa fatuwa.
Watu hawa wasanii ni waislamu jina ,na hawana uislamu wanaposhiriki vitendo vilivyo haramishwa , sasa mnapojishirikisha na wakati mwengine hata kuyakubali baadhi ya mambo yao ,kwa kweli mnajishusha thamani yenu.

Achaneni kabisa na watu waliopotoka na ukichukulia wengi wao si wageni ndani ya Dini ya Kiislamu ,wamezaliwa ndani ya dini ya Kiislamu ,hamna jipya juu ya kuwaelezea maadili ,na mnaweza kuwatolea mawaidha au kuwatolea mifano kama wanavyotolewa mifano mafirauni.

Kila mtu atabeba mzigo wake (Wa Thawabu au Madhambi) kwanini nyinyi mashee mnawasaidia kubeba mazigo yao ya madhambi ?

Mnafuatwa na vyombo vya habari vinavyotafuta viewers vikiwahoji na kuwadadisi juu ya wasanii wahuni na cyinyi mnaingia kichwa kichwa ,wasanii hawa si watu wa kuwajadili ,zaidi nyinyi ni kuwataka waumini wajiepushe nao kwa hali na mali.

Akifa msanii mashee wetu utawakuta nao wakishiriki majadiliano karogwa,kafa kwa uchawi na mambo mengi yasio kuwa na maana ,yaani huwa kama na wao ni wasanii mwisho wa siku hugeuka kuwa waganga wa dawa za jadi au asili, hawafahamu kuwa ALLAH amewasukuma kule wanakoelekea ,tunaona wanaenda kuhiji wakirudi ALLAH anawaumbuwa . Mashee himizeni wananchi kuwa na tabia njema wakisikia adhana wawahi kuswali wajihusishe katika amali nzuri .ukiona lishee linajihusisha na wasanii ,mjue kuwa huyo anaangukia au kuelekea kwenye kundi la WANAFIKI.
 
Manara anasema hao mashehe hawana maokoto na wakiwaomba kidogo tu mnawapiga spana.

Hivyo wameamua kuwafuata akina Mwijaku ili waokote japo kidogo na hayo mengine mtajua wenyewe.
 
Baadhi ya Mashehe sasa wamekuwa wakijiingiza katika mambo ya aibu ndani ya mitandano na youtube Tvs. kwa kweli kinachoingia mjini na wao utawaona wapo katikati na haswa haya mambo wasanii ,utawaona wapo msitari wa mbele na wao wakitowa fatuwa.
Watu hawa wasanii ni waislamu jina ,na hawana uislamu wanaposhiriki vitendo vilivyo haramishwa , sasa mnapojishirikisha na wakati mwengine hata kuyakubali baadhi ya mambo yao ,kwa kweli mnajishusha thamani yenu.

Achaneni kabisa na watu waliopotoka na ukichukulia wengi wao si wageni ndani ya Dini ya Kiislamu ,wamezaliwa ndani ya dini ya Kiislamu ,hamna jipya juu ya kuwaelezea maadili ,na mnaweza kuwatolea mawaidha au kuwatolea mifano kama wanavyotolewa mifano mafirauni.

Kila mtu atabeba mzigo wake (Wa Thawabu au Madhambi) kwanini nyinyi mashee mnawasaidia kubeba mazigo yao ya madhambi ?

Mnafuatwa na vyombo vya habari vinavyotafuta viewers vikiwahoji na kuwadadisi juu ya wasanii wahuni na cyinyi mnaingia kichwa kichwa ,wasanii hawa si watu wa kuwajadili ,zaidi nyinyi ni kuwataka waumini wajiepushe nao kwa hali na mali.

Akifa msanii mashee wetu utawakuta nao wakishiriki majadiliano karogwa,kafa kwa uchawi na mambo mengi yasio kuwa na maana ,yaani huwa kama na wao ni wasanii mwisho wa siku hugeuka kuwa waganga wa dawa za jadi au asili, hawafahamu kuwa ALLAH amewasukuma kule wanakoelekea ,tunaona wanaenda kuhiji wakirudi ALLAH anawaumbuwa . Mashee himizeni wananchi kuwa na tabia njema wakisikia adhana wawahi kuswali wajihusishe katika amali nzuri .ukiona lishee linajihusisha na wasanii ,mjue kuwa huyo anaangukia au kuelekea kwenye kundi la WANAFIKI.
Mm nawajua tena nawajua haswaa
Ila nipo mbali nao

Mashekhe ubwabwa wamejazana ple ......t.
 
Sijawahi kusoma muislam akiwapa za uso waislam wenzake
 
Back
Top Bottom