Tena inatakiwa wachukuliwe hatua kali sana wehu wakubwa.hawa jamaa zetu bana akhaa! sasa mapanga na visu na msikitini inakaaje hapo? ndo yale mkisemwa mnaanza kubisha ila haya mambo ndo yanayowachafua sana.
kumbe hadi visu vinaruhusiwa Msikitini?
Balaa kweli..sasa Ponda anapokataa ulinzi Misikitini si watamalizana asee?
kumbe hadi visu vinaruhusiwa Msikitini?
Balaa kweli..sasa Ponda anapokataa ulinzi Misikitini si watamalizana asee?
Uislamu unaeleza vizuri saana ,jinsi ya kuwasikiliza na kuwaheshimu viongozi. ndo maana inasema katika kila wawili mmoja ni kiongozi.hamuwezi wote mkawa viongozi kisha mkaongozana mtagombana na kuzozana tu.Jana nilikaribishwa chai asubuhi na mmoja wa waislamu, tukiwa tunapata hiyo riziki mmoja wa waalikwa alieleza mambo mengi niliyoyasikiliza na kuyapenda likiwemo hili yakwamba hapo zamani BANIANI akijua wewe ni PAGAN unatafuta dini ya kuingia anakushauri uingie UISLAM, anakwambia ni watu waungwana. lkn sasa hawasemi hivyo tena na wakimuona mtu ana MIDEVU hata akienda chooni kila mtu anakaa kwa tahadhali. hakuishia hapo alidiriki kueleza kuwa hata matukio haya yaliyotokea dhidi ya WAKRISTO, ya kuuawa padre na bomu kule Arusha kama yangekuwa yametokea upande wa WAISLAM basi pasingekalika lkn wanasema WAKRISTO wamekuwa watulivu kwa kuwa wanawasikiliza VIONGOZI wao. wito kwenu WAISLAM KORAN haijaacha kitu ifuateni kwa hekima.
pole saana ndugu yangu kama nimekukwaza kwa haya niliyoandika, chini ya dhamiri ya moyo wangu sina maana ya kuonyesha dini gani? NI bora kulinganisha na nyingine wala sina maana ya kudharau dini ya wengine maana yangu ni kuondoa UOVU ndani ya jamii zetu.nimeeleza mengi lkn yale ya hovyo naona wewe ndo unajitahidi kuyachukua nakushauri chukua hili KORANI HAIJAACHA KITU IFUATENI KWA HEKIMA.Kwa hiyo Tukio la kuzikwa Katekista akiwa hai kule Mbeya kwa tuhuma za uchawi mwanzon mwa mwaka huu ni maagizo ya Viongoz wao?, Mbeya ndio eneo lenye makanisa na wachungaji wengi zaid lakini ndio wanaongoza kwa Unyama dhidi ya binadam, Unakumbuka Askof Malasusa alivookolewa na vyombo vya Dola asichapike kutoka kwa wenye hasira kule Sumbawanga alipoenda kulazimisha kusimika kiongoz asietakiwa halaf unatudanganya eti huwa mnasikiliza viongoz wenu ukikaribishwa kwenye chai ya Pasaka jadili na hili,