bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,563
Niwatakie sikukuu njema wanajamvi wote.
Ingawa leo ni siku ya furaha na shamrashamra kwa walio wengi, kule mbeya katika mji wa kyela mambo sio shwari baada ya waumini kupigana visu msikitini na kujeruhiana vibaya.
Tukio limetokea kyela mjini na nimepigiwa simu na rafiki yangu aliopo kyela.
Sababu ni baada ya shekhe aliyebainika kuwa ametenda maaswi/madhambi ndani ya mfungo asisalishe sala ya idd.
Hivi hii hali tutafika kweli.
Mlioko kyela tujuzeni zaidi hali ilivyo sasa.