Mashekhe wachomana visu leo huko kyela

Mashekhe wachomana visu leo huko kyela

Status
Not open for further replies.
pole saana ndugu yangu kama nimekukwaza kwa haya niliyoandika, chini ya dhamiri ya moyo wangu sina maana ya kuonyesha dini gani? NI bora kulinganisha na nyingine wala sina maana ya kudharau dini ya wengine maana yangu ni kuondoa UOVU ndani ya jamii zetu.nimeeleza mengi lkn yale ya hovyo naona wewe ndo unajitahidi kuyachukua nakushauri chukua hili KORANI HAIJAACHA KITU IFUATENI KWA HEKIMA.
Kweli mkuu maana siku hizi watu tunapandikizwa taaluma ambazo huenda Quran haijaeleza.
 
huko dini ilipotoka huwezi kuta hawa nashangaa hawa walioipokea wamekuwa wa waovyo sijui ni kwamba WAMEELEWA sana Mafundisho au ndo HAWAJAELEWA kabisa!

Wako tofauti na mafundisho yao.
 
Dini zingine bana, taab tupu, tumswali Shehe Ponda, anaelekea mbele ya hki
 
Huu mfungo ungeendelea huenda yote haya yasingetokea,kama kweli rip Ponda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom