Masheikh wa Lowassa feki

Masheikh wa Lowassa feki

Mkuu unacheka eeh? Unadhani ni uongo?

Jaribu tu ku pay attention kidogo humu uone....watu wa hizo sampuli wapo wengi tu humu!
Nafahamu sana Mkuu. Kuna kizazi kilivamia humu ghafla kikatushushia hadhi kabisa, hata yakazaliwa majina "nyumbu" n.k.
Tumepwaya sana kiasi kwamba pengo la Dr Slaa aliyeongoza kwenye hoja na mambo ya msingi halionekani kuzibika.
 
Tulimpinga kila mwanaccm , ukileta yaliyopita haitasaidia chochote , tumeanza ukurasa mpya , ccm siyo chadema .
Duh mjomba unaroho ngumu kweli .. ningekuwa mimi ningepita zangu kimnya kimnya hapa.
 
Tulimpinga kila mwanaccm , ukileta yaliyopita haitasaidia chochote , tumeanza ukurasa mpya , ccm siyo chadema .
Kwa maneno haya, ndio maana nchi haina maendeleo. Jitafakari upya, you just wrote a piece of cr!p.
 
Kila kitu juu ya Lowasa ccm watakiita feki au wapendavyo wao ili kufurahisha roho zao,kwakua ameshaingia chaka.kuchokoza vita ya kidini,nisawa na kubeba bomu rimoti ya kulipulia bomu ikiwa kwa adui yako.mtamaliza maneno yote,ila tuna subiri muziki ambao mtaucheza ccm tu bila patina !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mjomba unaroho ngumu kweli .. ningekuwa mimi ningepita zangu kimnya kimnya hapa.
Huyo jamaa anataka kutuaminisha nini hapa ina maana wao huwa wanapingapinga tu bila hoja ili tu mtu aende upande wao akishaenda tatizo kwisha naanza kuwa na wasiwasi na upinzani wao maana hata chenge wanaemtukana Leo kila kona kesho akihamia upande wao wanampa kiti agombee urais na sifa kedekede...ndo maana ni kazi sana kupata maendeleo nchi hii
 
Kuna MOD yuko busy kwenda kufukunyua threads zangu za nyuma. Endelea na mkakati wako, ila kwa taarifa yako hakuna popote pale ambapo utakuta contradiction ya aina yoyote ile kuhusu hizo threads ulizoamua kwenda kuzifukunyua. Kila la heri kwenye mkakati wako.
Kwani mods ndo waliziandika?? Nyie jamaa viroba sana!
 
Kuna MOD yuko busy kwenda kufukunyua threads zangu za nyuma. Endelea na mkakati wako, ila kwa taarifa yako hakuna popote pale ambapo utakuta contradiction ya aina yoyote ile kuhusu hizo threads ulizoamua kwenda kuzifukunyua. Kila la heri kwenye mkakati wako.
mkuu tulia mbona unajistukia...hii ndo JF bana huwa haimuachi mnafiki salama....
 
Najistukia wapi? Lini niliwahi kumpigia debe huyo fisadi? Acha kukurupuka na kuandika uzushi!

mkuu tulia mbona unajistukia...hii ndo JF bana huwa haimuachi mnafiki salama....
 
Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF<br />Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
913359b4fe1c812a4a779be00ab982ea.jpg
 
Back
Top Bottom