Mashehe kuongea kiswahili kama kiarabu..!

Ni uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
CHADEMA na mashehe kuiga wakoloni wao waarabu waliowachapa babu zao kuan uhusiano gani?

hii tabia ya mashehe kuiga waarabu namna ya kuongea ni utumwa wa fikra, kiswahili wanataka wakiongee kama kiarabu, alafu mpaka kuvaa, ila kweli Tanzania waacha MAGUFULI ATUNYOOSHE, PAMOJA NA MAKONDA, hawa hawataki huu ujinga ujinga
 
wacha ujinga wewe, walokole wapo free sana, hawaigi, usihamishe mada, waislam ndio waigaji na waroma wanaiga waitaliano na wanasoma kilatini na kwao ukijua kilatini ni kama umemwona Mungu.
usihusishe walokole na vitu vya ajabu ajabu, ama ulimsikia nabii mashimo na tito wakiongea hivyo ukadhani wale ni walokole?wale si walokole, wapo dini moja na mzee wa upako, injili ya mafanikio ambayo haimtaji hata YESU.
 
Ahsante, umenukuu comment yangu ya mwaka 2017. Maana sikuelewa hata unaongelea nini, hadi imebidi niende ukurasa wa kwanza kuona kuna nini!!!!
 
Kwani katika ujuzi wako wa lugha ya Kiswahili unafahamuj lahaja ngapi za Kiswahili ?
tuanze hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…