Salaam wakuu.
Hivi hapa DAR kuna sehemu naweza kupata mashati ya size 16-18,lakini ya good quality?hata kama ni local made??
Sihitaji branded lakini naweza ku afford kama 30-40,000TZS/shirt.
Nimekwenda maduka mengi Quality Plaza-hapa yako mpaka ya 99,000 lakini ?*?samora -loooh!
Lakini nina imani panaweza kuwa na watu hata kama wana import kutoka UK/US/Brazil , hata kama ni nyumbani nitayafuata.
Nimeamua kuuliza kwa sababu ya Kariakoo labda nanunua sehemu/maduka mabaya.
Asanteni!
hakuna kitu pale.nenda robby one... Kinondoni studio pale
nenda kariakoo sokoni ule mtaa zinazopak basi za mwenge nenda nao kama unaenda mnazi m1 ukishuka kidogo baada ya benki ya zbar nenda kidogo kulia kwako kuna duka linauza suti na kuna mashati mengi.. then nenda na mtaa huo huo mbele kidogo baada ya benki 1 i thnk stanbic upande wa kulia kuna duka linauza suit chek hapo kuna mashati mazuri.. bei inarange 40-60.Salaam wakuu.
Hivi hapa DAR kuna sehemu naweza kupata mashati ya size 16-18,lakini ya good quality?hata kama ni local made??
Sihitaji branded lakini naweza ku afford kama 30-40,000TZS/shirt.
Nimekwenda maduka mengi Quality Plaza-hapa yako mpaka ya 99,000 lakini ?*?samora -loooh!
Lakini nina imani panaweza kuwa na watu hata kama wana import kutoka UK/US/Brazil , hata kama ni nyumbani nitayafuata.
Nimeamua kuuliza kwa sababu ya Kariakoo labda nanunua sehemu/maduka mabaya.
Asanteni!
Nenda pale NBC club posta mpya kuna jamaa wanashika mikonon usidharau wana sumu kali sana!
kuna mzigo wa mashati ya mitumba ya high quality umeingia jana. ni pm number yako nikuelekeze jinsi ya kupata
Nawaonaga wale jamaa, bei zao zipoje??
Au nikuachie yangu used?
Nina kabati zima, nguo sizivai.
umetua mjini lini
Mkuu ukikosa huko kote, tuwasiliane. Mm pia nauza mashati ya mtumba ya kiume tu. Tena bei yangu ni 15,000 tu. Shukrani.
Halafu mengi si cotton halisi ila wanaandika ni 100% Cotton hiyo inanipa shida sana,ukichukulia hali ya hewa ya dar inakuwashida kuvaa nguo ambayo si cotton.Salaam wakuu.