Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusuPastor church huendi leo?
Amen baba mtumishi,Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusu
Kanisa lipo huku Kitombo linaitwa "THE NIGHT MIRACLE MINISTRY"Amen baba mtumishi,
Ebu nialike kanisani kwenu mtumishi, liko wapi linaitaje?
Barikiwa Maarifa. Karibu huku KitomboPastor kweli MTU Wa imani. Nimekukubali