Masharti ya mabeberu

Masharti ya mabeberu

Watu maskini jeuri bwana, utawajua tu??
Wanavyowaita matajiri majina ya husda, mara mabeberu, mabwanyenye, wanyonyaji😅😅
Maskini ni maskini, tunao utajiri wa madini, mazao hatuna teknolojia, si ndiyo maana mzungu akawagea gololi za uchezea bao, yeye akatengeneza Canada yake Mwadui.

Yote ni vya thamani Kwa sababu beberu kasema vina thamani, siku beberu akisema having thamani, tutarudi kuchezeshea bao, na udongo wa makinikia utakuwa wa kupandia maua.

Everyday is Saturday......................................😎
 
Ndio ktk tano bora duniani ni tajiri wa raslimali .
Madini tu yaliyopo wilaya moja tu ya tza yanatosha kulipa deni la taifa lote na chenji
Ila nimeshangaa mikoa ya kigoma, mwanza na mara kuwa na shida ya maji. Inafikirisha sana
Taiwan 🇹🇼 iliamua kuwekeza kwenye rasilimali watu nadhani tunaona hatua zao
 
Ila nimeshangaa mikoa ya kigoma, mwanza na mara kuwa na shida ya maji. Inafikirisha sana
Taiwan 🇹🇼 iliamua kuwekeza kwenye rasilimali watu nadhani tunaona hatua zao
Hata wakoloni waliwekeza vijijini Sana wakafanya makubwa tuyaonayo, huwezi kupata maendeleo bila kutifua ardhi.
 
Hata wakoloni waliwekeza vijijini Sana wakafanya makubwa tuyaonayo, huwezi kupata maendeleo bila kutifua ardhi.
Kweli kabisa
Ingia Korogwe, Mafinga, Njombe ndani, mashamba ya chai, nenda Bukoba, Moshi, Rungwe mashamba ya kahawa, Iringa ilijaa wagiriki wakulima WA mahindi, hata minazi ya Sultan
Pwani, Tanga, Morogoro katani, ardhi lazima itifuke.

Everyday is Saturday.......................................😎
 
Bora wakoloni tatizo la ajira nchini na ukosefu wa masoko kwa wakulima halikuwepo kabisa
 
Hata wakoloni waliwekeza vijijini Sana wakafanya makubwa tuyaonayo, huwezi kupata maendeleo bila kutifua ardhi.
Mkuu,
Nimetumia concept ya rasilimali watu kwangu kama kigezo kikubwa kuleta mapinduzi yoyote.
Nadhani kwa miaka 60+ ya uhuru kwa nchi nyingi za kiafrika tunaona maendeleo ya hayo yanayoitwa maendeleo ya kilimo
Hao wakoloni walikua na wataalam wao kwa kipindi hicho

Kutifua ardhi kwa kutumia jembe lenye chapa ya jogoo si mchezo
 
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Pole sana mnyonge.... Rais wenu yupo futi chini ya ardhi
 
Back
Top Bottom