karibu mkuu tena sana wenye akili timamu woote wanajiunga na ccm chama makini.Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na kujikuta navutiwa nacho.
..nina imani nitaweza kulijenga taifa langu kwa umakini zaidi nikiwa kama mwanachama wa CCM .
..kama kuna kiongozi yeyote wa CCM naomba anisaidie namna ya kujiunga na chama na kupata kadi ya uanachama.
Cc Simiyu Yetu FaizaFoxy MSALANI na wanaCCM wote.
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na kujikuta navutiwa nacho.

Hongera sana... Lakini mbona hauweki Qualifications zako? au ndio another BLOOD SUCKER ?
Sidhani kujiunga na CCM unahitaji MATANGAZO... Iko kila kona JUST WALK IN...
Wewe umerogwa.
Karibu sana kwenye chama kilichothubutu, kikaweza na sasa kinajenga nchi kupitia ilani yake ya uchaguzi 2010.
CCM hatufanyi mambo ya kisiasa theoretically bali tunafanya practically.
Tembelea kwenye shina lolote la wakereketwa, Balozi wa nyumba kumi au ofisi ya CCM tawi/kijiji na huko watakupa maelezo ya taratibu za kuwa mwanachama.
Kumbe wewe ni KILAZA....nlikua nakuona mmu nkafikiri mwerevu...kumbe empty head kabisa
karibu mkuu tena sana wenye akili timamu woote wanajiunga na ccm chama makini.
Tena haswaa na nimechanjwa kila mahali kuipenda CCM,