Masharti na vigezo kuzingatiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masharti na vigezo kuzingatiwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by O-man, May 28, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kusaka katika tovuti za makampuni ya simu hapa nchini lakini sijaona link hata moja itakayonipa undani wa mameno hayo. Nahisi nikiyajuwa/tukiyajuwa yataleta mwamko kwa utumiaji.
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,268
  Likes Received: 8,339
  Trophy Points: 280
  yataje vinginevyo thread yako imekaa kimafumbo.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ukiambiwa hivyo ujue kuna VIGEZO na MASHARTI, yasome kwa umakini kisha uyatilie maanani!
   
 4. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakuu ninajaribu kutafuta hayo masharti na vigezo hivyo ili kupata uelewa, sina maana nyingine. Au ni maandishi ya siri mpaka hapo likitokea tatizo? Kwa nini hayawekwi wazi ili mtu asitumbukie kwenye mtego?
   
 5. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Naona imeshindikana. Nawashukuru wote waliochangia na waliopita hapa. Nahamia kwengine, nikipata jibu ntawajuza.
   
Loading...