Masharobaru wetu olimpiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masharobaru wetu olimpiki!

Discussion in 'Sports' started by KYALOSANGI, Jul 28, 2012.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Leo nimeeangalia ufunguzi wa Olimpiki ,wakati washiriki wakipita mbele ya jukwaa kubwa kwa bashasha na kujivunia uataifa wao kwa mavazi nadhifu yanayotangaza uataifa wao m .......niliacha kazi zangu nikasubiri wATANZANIA WATATOKA VIPI nilipigwa na butwaa baada ndugu zetu hawa wachache kupita jukwaa wakichekelea meno nje wakiwa wamevalia suti za kimagharibi tofauti na nilivyoona kwa Rwanda,Swaziland .IVORY COST, nkna mataifa mengine walivyajipambanua kwa utamaduni wao!

  Ukiwa na akili ndogo unawaezafikiri hili ni jambo dogo sana!.Lakini kwa watu wnye akili na uzalendo kwa Taifa kupata fursa ya bure ya kupita mbele ya watu zaid ya bilioni moja ni fursa pekee kabisa ya kuutabulisha Utaifa tena Bure!
  Tulitumia mabilionni kuitangaza Tanzania {ukitaka kula sharti uliwe} ughaibuni leo tunashindwa hata kuvaa lubega ,khanga ,kimasai ,msuli ,vitenge au ngozi mbele ya dunia nzima ! AMA KWELI KUNA MTU ALITULOGA MUNGU HAKUTUWEKA WAJINGA NA WAPUMBAVU KIASI HIKI KATIKA USO WA DUNIA ILIYOJAA KILA KITU
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha ha ha aisee! Sijalifikiria hili kabisa...ila kuna kaukweli fulani...pole hata hivyo.
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Bado tuko kwenye mchakato wa kutafuta vazi la taifa!
   
 4. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mchakato huu kwanini umechukua muda mrefu kiasi hiki?...yaani miaka 55 unataka kusema haitoshi?
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Umeandika kitu cha maana sana. Lkn title imekaa kwa namna ambavyo msomaji wako anaweza akaamini kwamba mwandishi wa title na contents ni watu wawili tofauti. Yaani aliyeandika title hapaswi kuwa member humu lkn aliyeandika contents za thread yako, hakika ni Great Thinker, hivyo anapaswa kuwa humu.

  Ushauri:
  Unapoandika kitu cha msingi kama hiki, jaribu kutafuta Title ambayo at least itawavutia wasomaji wa kada mbalimbali ili waweze kuvutika kuja kusoma thread yako.Hatahivyo, nakupongeza sana kwahili, kwani inanikumbusha ni kwanini katika Ofisi zetu kuna furnitures toka China na U.A.E badala ya kutoka nchini mwetu wakati tuna mbao bora kuliko hizo zinazotoka huko nje. Pia hata nane nane itafika, utakuja uone ni kwa jinsi gani wizara mbalimbali zinavyopiga bajeti kubwa sana kwa ajili ya Suti toka Mariedo na nje ya nchi. Anyway, hii ndiyo Tanzania, hakuna anayeweza kufikiri nje ya box na kuona impacts za maamuzi yetu. Yaani nchi yetu ni JANGA KILA IDARA.
   
Loading...