Rahim Jr
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 561
- 282
Siwezi kujua ni kilometa ngapi, lakini ukitoka mashariki asubuhi , unafika magharibi jioni.
kwi kwi kwi
Siwezi kujua ni kilometa ngapi, lakini ukitoka mashariki asubuhi , unafika magharibi jioni.
Mipaka ya Mashariki na Magharibi ni nyuzi 0 na 180 longitudes.
Dunia ina sehemu na majina yake sawa? Sasa niambie Magharibi pa Dunia kunaitwaje? Na mashariki panaitwaje. Halafu acha habari za nyuzi 360 mleta mada alikua anataka kujua Km na muda utakaoutumia.