kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 400
- 472
Hawa Ni baadhi ya wakubwa wa MASHANGAZI kwenye taifa hili ambao walioamua Leo kwenda kumsalimia nankumtakia kupona kwa haraka Mbunge wa Bukoba mjini Mr Rwakatare ambaye amelazwa Muhimbili baada ya afya kusumbua.
Ila wamependezaaaje MASHANGAZI....Pona haraka mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wamependezaaaje MASHANGAZI....Pona haraka mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app