Mashambulizi dhidi ya Libya yanamnufaisha nani?

Mhamerd

Member
Feb 13, 2011
5
0
Ni jambo lisilopingika kuwa hakuna binadamu yeyote anayependa vita itokee Nchini mwaka, na nina imani kuwa Wananchi wa Libya nao vilevile wasingependa vita iendelee Nchini mwao. Najua rais wa Libya anapigana akisema anaitetea Nchi yake dhidi ya waasi wanaoungwa mkono na Nchi za Magharibi na baadhi ya Nchi za kiarabu zinazodai zinawanusuru waLibya dhidi ya Siasa katili za Gadafi. Je lipi ni sahihi, ni Kweli Nchi za Magharibi Zinaishambulia Libya kwa Maslahi ya Walibya wenyewe? na kama ni hivyo kwanini wasitumie njia ya mazungumzo kumaliza mzozo huu?
 
Back
Top Bottom