Mashamba yanauzwa Mlandizi-Kibaha

Mashamba yanauzwa Mlandizi-Kibaha

ngogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
359
Reaction score
54
Shamba moja lipo Vikuruti Mlandizi hekari 10 @ 2ml Tshs na lingine lipo kijiji cha Lupunga hekari 100 @ 1ml Tshs, yote yamepakana na makazi ya watu magari yanaingia, call me for, 0717000990
 
ekari moja bei gani?kwa vikuruti na Lupunga?
 
Kama kusoma ni tatizo si dhambi kuomba msaada kwa jirani, bei ipo wazi lakini bado mtu anauliza
 
haamini hito bei labda inawezekana amezoea kusikia hekari moja mil 100
 
Shamba moja lipo Vikuruti Mlandizi hekari 10 @ 2ml Tshs na lingine lipo kijiji cha Lupunga hekari 100 @ 1ml Tshs, yote yamepakana na makazi ya watu magari yanaingia, call me for, 0717000990

Lupunga ndo hipo wapi na kuna umbari gani kutoka main road?
Asante.
 
Back
Top Bottom