Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,752
- 4,507
Sijajua siku hizi, lakini enzi nipo huko, eneo hilo liko nje ya mipaka ya Manispaa
Mtoa mada hafahamu katikati ya Jiji Ni wapi,wewe ulikuja huku kitambo lakn unaelewa!
Mbeya bado haina watu,Aache kuzungumzia MASHAMBA YA KILIMO hayo,aende Mbalizi karibu na SONGWE AIRPORT serikali inapima viwanja na havijaisha,njoo IZIWA ,Kawetele,Swaya,Itende,Inyala,kasoko n.k HAKUJAJAA, KUJADILI MASHAMBA YA UYOLE NI KUPOTEZA MUDA TUU.