Mashamba ya Taasisi ya Kilimo Uyole Katikati ya Jiji la Mbeya

Msisina

Senior Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
194
Reaction score
164
Ni Jiji linalokuwa kwa kasi unaoambatana na ongezeko kubwa la watu na makazi. Eneo linalomilikiwa na Taasisi ya Kilimo Uyole lenye ukubwa wa hekta takriban Elfu moja nalo linapatikana ndani ya makazi ya watu Kati ya eneo la Uyole na kwa mama John.

Ni wakati muafaka Sasa ikaonwa nanna nyingine ya kuhamisha shughuli za kilimo katika Taasisi hii na kuzipeleka nje kabisa ya mji eneo huru ili kuruhusu kumfanya mpango mji wa makazi Bora na ya kisasa. Najua wengi wangeunga mkono suala Hilo na kulifanya Jiji kuwa zuri kuliko ilivyo sasa!!
 
Akili zako zipo Sawa? Why mji usijengwe na kupanuliwa maeneo mengine na si kuhamisha Taasisi ya Kilimo ya hapo Uyole. Kama umefika Nairobi katikati ya Mji kuna Hifadhi ya Wanyama na hakuna kilichoharibika. Kikubwa ni design tu ya mji na Uyole itabaki kuwa hivyohivyo na mji utaendelea kukua.
 
Wewe nadhani ndo unatakiwa kupimwa akili. Shamba katikati ya mji lina faida gani?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Akili zako zipo Sawa? Why mji usijengwe na kupanuliwa maeneo mengine na si kuhamisha Taasisi ya Kilimo ya hapo Uyole. Kama umefika Nairobi katikati ya Mji kuna Hifadhi ya Wanyama na hakuna kilichoharibika. Kikubwa ni design tu ya mji na Uyole itabaki kuwa hivyohivyo na mji utaendelea kukua.
Habari inazungumzia matumizi Bora ya ardhi kwa muktadha ulipo pale. Mbona ngorongoro wanaishi watu na wanyama lakini Sasa inapendekezwa watu waondolewe. Usiogope mabadiliko!
 
Ni Jiji linalokuwa kwa kasi unaoambatana na ongezeko kubwa la watu na makazi. Eneo linalomilikiwa na Taasisi ya Kilimo Uyole lenye ukubwa wa hekta takriban Elfu moja nalo linapatikana ndani ya makazi ya watu Kati ya eneo la Uyole na kwa mama John. Ni wakati muafaka Sasa ikaonwa nanna nyingine ya kuhamisha shughuli za kilimo katika Taasisi hii na kuzipeleka nje kabisa ya mji eneo huru ili kuruhusu kumfanya mpango mji wa makazi Bora na ya kisasa. Najua wengi wangeunga mkono suala Hilo na kulifanya Jiji kuwa zuri kuliko ilivyo sasa!!
Eh we uko sawa kweli

Ova
 
Sijajua siku hizi, lakini enzi nipo huko, eneo hilo liko nje ya mipaka ya Manispaa
 
Habari inazungumzia matumizi Bora ya ardhi kwa muktadha ulipo pale. Mbona ngorongoro wanaishi watu na wanyama lakini Sasa inapendekezwa watu waondolewe. Usiogope mabadiliko!
Kwani matumizi ya sasa ya eneo hilo siyo matumizi bora?
 
Akili zako zipo Sawa? Why mji usijengwe na kupanuliwa maeneo mengine na si kuhamisha Taasisi ya Kilimo ya hapo Uyole. Kama umefika Nairobi katikati ya Mji kuna Hifadhi ya Wanyama na hakuna kilichoharibika. Kikubwa ni design tu ya mji na Uyole itabaki kuwa hivyohivyo na mji utaendelea kukua.
Nairobi katikati unapajua wewe?
 
Nenda Arusha kituo cha utafiti pia kinamiliki mashamba ndani ya jiji, mashamba ya kahawa karibu na uwanja wa ndege wa kisongo yako ndani ya jiji, sanawari ukichungulia vizuri tu kutoka kituo cha daladala ni mashamba na nyumba za udongo. Mamlaka ya mji wa Ngaramtoni ni mashamba, anzia chekereni fuata barabara utokezee daraja la Nduruma/madukani ni mashamba. Mara nyingine tuelewane kwamba definition ya jiji iwe muunganiko wa vijiji.
 
Akili zako zipo Sawa? Why mji usijengwe na kupanuliwa maeneo mengine na si kuhamisha Taasisi ya Kilimo ya hapo Uyole. Kama umefika Nairobi katikati ya Mji kuna Hifadhi ya Wanyama na hakuna kilichoharibika. Kikubwa ni design tu ya mji na Uyole itabaki kuwa hivyohivyo na mji utaendelea kukua.
[/QUO

Watu wa Mbeya wanawaza kusafiri muda wote,wanang'ang'aniana kuishi pembezoni mwa barabara ya LAMI (TANZAM)😄😄

Jiji la Mbeya bado tupu Sana lakini kila raia anataka awe karibu na barabara,mi huwa siwaelewagi!!!
 
Back
Top Bottom