Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Ni wilayani kilolo-iringa,kuna mashamba mengi yana miti ya mipaina hasa ya kufuga ya umri mbalimbali bei yake ni poa sana au waweza nunua shamba tupu then upande na baada ya miaka 8 waweza kuivuna kwa faida kubwa.

MWENYE NIA ANI PM ILI TUWASILIANE
 
Mkuu Tafadhali ahinisha bei ya kila heka na lililo na miti na lisilo na miti. Serious pliz.
 
Ni wilayani kilolo-iringa,kuna mashamba mengi yana miti ya mipaina hasa ya kufuga ya umri mbalimbali bei yake ni poa sana au waweza nunua shamba tupu then upande na baada ya miaka 8 waweza kuivuna kwa faida kubwa.

MWENYE NIA ANI PM ILI TUWASILIANE

Mimi napenda shamba tupu nioteshe mwenyewe,bei ikoje. Ni kijiji gani huko Kilolo?
 
Last edited by a moderator:
Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...uko pasta au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni woowtv@live.co.uk. Asante.

www.bongosingles.com
 
Chenye hati kwa hela hiyo kibada hupati sqm 1200 labda chini ya hapo
 
Back
Top Bottom