Hakuna aliepata majibu hapo juu???
nimeambiwa kuwa maeneo ya kibiti (around 130 km from dar) mashamba yapo yanauzwa tshs. 60,000 (elfu sitini tu) kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi kwa sana.
Nimeambiwa kuwa maeneo ya Kibiti (around 130 km from Dar) mashamba yapo yanauzwa Tshs. 60,000 (elfu sitini tu) Kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi Kwa sana.
iko pwani?ufuta wanatoa gunia ngapi?mahndi pato lake likoje?je naweza kupata mashamba yaliyosafishwa kwa kukodi?pls msda hapo
mkuu, nadhani unaweza ingawa cna uhakika sana. Kama unahitaji kulima ufuta njoo me ntakupa bure pa kulima hata kama ni heka tano au zaidi...
nashukuru,,ila shda angu kupata mashamba yaliyosafishwa tayari kulimwa kwa trecta.nahitaji km 50 nakuendelea.km naweza kupata nitashukuru sna
..@geba mimi nna shamba huko maeneo ya ukwiriri posta unaingia ndani kidogo siyo mbali sana barabara kibwa ya lami nna ekari 60 ila ni pori sijalilima bado, kama unataka tunawwza fanya biashara....nna uzoefu sana ya maeneo ya huko rufiji pia
mkuu, maeneo nilipo mm hakuna uwezekano wa kulima kwa trekta make bado ni maeneo ya mapori. Labda ung'oe vcki... Ukiweza ncheki kwa namba yangu twongee fresh...
mashamba ya pori hapana.ninayo nia angu kupata yalisofishwa
huko mashamba ukinunua una safisha mwenyewe mkuu