Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,586
- 28,747
Mkuu kama nitahitaji shamba hekari 30 kutoka maeneo hayo ya kibiti kwa ajili ya ufugaji naweza kupata kwa bei gani??Nianze kwa kuuliza untaka kulima zao lipi haswa... Mm nipo maeneo ya Shinyanga 10 km toka Kibiti town. Jirani yangu anauza heka 8 zilizosafishwa tayari. Curently 2nalima ufuta... Karibu ukiwa interested ntafute kwa 0763328830
Maana sifa kuu ni upatikanaji wa maji ya kisima cha kuchimba au mto unaotiririka mwaka mzima, na uwepo wa barabara pia.
Naomba unijibu mkuu maana niko serious sana na hii project mkuu