Morogoro na migogoro yote hiyoShamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki panaitwa Bwawani unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni,Nashukuru kwa waliokuja nakufanya biashara nao na pia walionyesha interest ya kurudi tena.
NB:wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
Wewe ni tapeli. Huwezi kuuza eneo bila kikao. Wadanganye wajinga.Shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki panaitwa Bwawani unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni,Nashukuru kwa waliokuja nakufanya biashara nao na pia walionyesha interest ya kurudi tena.
NB:wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
Nashukuru kaka kwa Tusi lako nakutana na wengi kama nyie,sema nashukuru Mungu sinaga matandizo nanyie,hicho kikao si dhani kama ulikitaji kikakosekanika na sidhani kama unajua eneo lenyewe but that's ur opinion's mate,ThanksWewe ni tapeli. Huwezi kuuza eneo bila kikao. Wadanganye wajinga.
Asante nitakutafuta!Hekari inaanzia 400,000 lakini tunaweza kuongea na idadi ya heka unazoitaji,na vizuri sehemu uitembelee uione na uwone watu wanafanya nini na bei za hapo kwa ujumla , Asante sana kaka
mkuu ntakutafuta. Usijali watu wengine uwaga wanatumia vitu vikali hivyo lugha zao ni gongana.Nashukuru kaka kwa Tusi lako nakutana na wengi kama nyie,sema nashukuru Mungu sinaga matandizo nanyie,hicho kikao si dhani kama ulikitaji kikakosekanika na sidhani kama unajua eneo lenyewe but that's ur opinion's mate,Thanks