Hayo maeneo nlinunua shamba, lakin baada ya mwaka naambiwa ni Hifadhi π, hivi sasa naambiwa serikali ina pima maeneo,, lakin kwangu hawajafika bado ni hifadhi, kuna kikao kitakaa kuhidhinisha nasi tupimiwe.
Za ndaaani naambiwa lile eneo liko ndani ya mpaka wa Mvomero na sio Moro town, ili kupata hati niende wilayani mvomeroπ, nikachoka,,
Kuwa makini na hayo maeneo