Shukuru Mungu sie twampa ushauri wa kujenga mahusiano yenu! Angejiunga na facebook au G5-Click wangemtongoza!Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...Huyu ni Y katika KISA changu cha X na YNifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
Ndo maana yake hivyoso far inaoneka huo uhusiano haupo strong
badala ya kusumbuka na kama yupo jf au hayupo..
ungeaanza na kuuufanya huo uhusiano uwe strong vya kutosha
kwamba ana2mia express yourself?!Wewe unaonekana mshabiki sana wa hii kitu,, napata mashaka hapa!
Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...
Huyu ni Y katika KISA changu cha X na Y
Nifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
sasa kutongozwa ni dhambi, ukiona mkeo anatongozwa jua ana mvuto wa kutosha bana
Mh!makubwa!!!itakua ni ile thread y kuombwa kurukwa ukuta.
Speake ile Avatar yake inakonyeza nadhani shemeji kadata nae teh! Kaka komaa nae, mpe ujauzito then muunge urafiki na lizzy!Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
Gagu ntakuchapa..We ngoja nikuite ..Hujambo??Speake ile Avatar yake inakonyeza nadhani shemeji kadata nae teh! Kaka komaa nae, mpe ujauzito then muunge urafiki na lizzy!