Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
nilipoona balenga nikakumbuka BATENGA. Angekuwa BATENGA huyo Macha angehesabu maumivu tu, tena makali....
Yule alietapeli matofali ya Mwl JKN?

Tapeli huyu hajafungwa tu. .
Dalisalama imejaa wapigaji kiaina kina Escrow wako wa aina nyingi sana.
Kama hakuuziwa hizo hati za nyumba zilifikaje kwa Bwana Macha??
Mpaka anamaliza transactions za kuchukua hiyo nyumba ilikuwa ni Tshs. 899m/= na siyo 20m/=Hans Macha anamiliki 1.1% ya benki ya CRDB. Benki ya CRDB ina assets za zaidi ya bil 2 za marekani. That means huyu jamaa kwa hapo tu CRDB is worth at least 20mil USD!...hapo bila kujua what other businesses he runs. Swali: Why is he involved in petty deals za mil 20 za nyumba located at kigogo for goodness sake? Au ni hans macha mwingine?
Ameghushi na polisi mwandamizi alithibisha hayo
Huyo jamaAa AMwombe Mungu sana
Jamaa kukuondoa kimazingara DK Moja kaulize Nduguzake
Ana System yakufanya Party Moshi kilamzigo dec kwenye Party anachukuaga maji na kila anaepewa seviettes zinakusanywa awaruhusiwi kutoka nazo
Kesi isshe ashtakiwembaya baada yahakimu kuambiwa ngoma iko JF
KAGOMAKUFANYA URUHANG......AKIHOFIA WATOTO WAKE WASIKOSE CHOO KIKUBWA
CHEZEA JF
Huyo jamaAa AMwombe Mungu sana
Jamaa kukuondoa kimazingara DK Moja kaulize Nduguzake
Ana System yakufanya Party Moshi kilamzigo dec kwenye Party anachukuaga maji na kila anaepewa seviettes zinakusanywa awaruhusiwi kutoka nazo
Hans Macha anamiliki 1.1% ya benki ya CRDB. Benki ya CRDB ina assets za zaidi ya bil 2 za marekani. That means huyu jamaa kwa hapo tu CRDB is worth at least 20mil USD!...hapo bila kujua what other businesses he runs. Swali: Why is he involved in petty deals za mil 20 za nyumba located at kigogo for goodness sake? Au ni hans macha mwingine?
Kesi iliishaje?Duh.....
Nakumbuka alihukumiwa kunyongwa Hadi kufa Kama sikoseiKesi iliishaje?