Mashabiki wenzangu wa Arsenal tumjadili Wenger hapa

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Niseme ukweli namchukia sana huyu mzee wa tetesi mwishowe inakula kwetu

Kweli unamnunua Takuma na kujiona umesajiri stricker au unamfukuzia Benteke wakati kule kuna Chicharito anapatikana kwa bei ya kawaida

Huyu mzee nataman hata afe
7ee5cdb5e2fa071516875c8e13336cfd.jpg
 
Kumchukia Wenger ni kaz bure tu, maana hta mwenye hisa nyingi anamkubal, anasajil kwa bei ndogo ili aje auze kwa bei kubwa, swala la vikbe tusahau, ubinhwa wetu top 4
 
Huyu mzee hakuna sababu ya kumjadili. Nilianza kumrindimia toka mwaka 2009 sasa alichokifanya binafsi naona kuendelea kumjadili na kumrindimia ni kupoteza nguvu zangu bure. Huyu mzee ana kibri cha hali ya juu na haambiliki kabisa
 
Inauma jaman acheni tu maisha ya kuwa wasindikizaji yanauma
 
Sidhani hata kama ulishawahi kulipia uanachama wako huko Arsenal achilia mbali kununua jezi.
 
Takuma mzuri sana aisee ni mfungaji mzuri sana hata akiwa katika mazingira magumu anafunga vizur tu. Pia accuracy yake ni ya hali ya juu. Hofu ni ufupi wake ukizingatia atacheza ligi ngumu ya kutumia vyote maguvu na akili. NIMEMCHEKI YOUTUBE namna anavyopiga magoli.Ni mbishi pia kwenye kumiliki mpira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom