ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!
Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!
Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa
Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa
NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa