Mashabiki wanao Mshindanisha Diamond na wasaniinwengine Wa bongo hii ndo Fursa

Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!

Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!

Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa

Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa

NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa
Kumbe we jamaa nilikuwa nakuchukulia poa,kumbe una akili sana. Yes,wao si wana sauti nzuri,hawafanyi muziki wa ujanja ujanja,wanajiita wanapendwa na watu japo kajiandae haijulikani ilipo, waandae shoo siku hiyo hiyo na kiingilio washushe ikiwezekana waweke tsh 500 kisha tuone nani ndio nani. Chezea MOND wewe.
 
Nani anaubavu huo na kiwimbo chao kimoja, plus kile cha kuandikiwa. Ebu achen kuwajaribu team kibakuli na Dimpoz wake
 
Mapovu yanawatoka.....wengine hawana roho mbaya kama nyie.

Nyie fanyeni show yenu kwa uhuru tu hakuna hakaewafanyia ujanja ujanja.

Ila mkae mkijua bila Darassa kuwepo kwenye show haji mtu huko.
Wimbo Mmoja unawatia kiburi eeeh sasa show nzima itakuw ni wimbo mmoja......?????Aweke nae Show yake ya Bureee tuuuu then utaleta jibu
 
Mkuu unazungumzia huyu darasa ambaye show zake ni za kwenye clubs kiingiingilio 5000 au 10000 ??? hahahaha makelele ya mtaani yanawawehuwa watu nyeusi unaiona kama nyeupe..
Huyo Huyo asipokuwepo uko Jangwani hiyo show mtafanya peke yenu.
 
Nasikia hadi hivi sasa Diamond ameshanunua mashabiki elfu kumi ili wajaze show yake. Sasa huyu dogo anakoelekea ni kubaya. Pia bado wanaendelea kununua mashabiki kule Iringa na viunga vyake. Ameshanunua sana tuzo, amenunua viewers karibia Africa yote. Huyu dogo nasikia alikuwa ananunua pia majaji, sijui hela nyingi hivi anazitoa wapi.
 
Tatizo timu yenu wote mna roho mbaya ndiomaana hata wewe umeona hiyo Idea iko sawa... tupo busy na mambo yetu ya msingi na nyie fanyeni yenu
Mkuu kwahiyo kama wanafanya show wasanii unao wapenda unakuwa huko busy na mambo ya msingi?
 
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!

Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!

Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa

Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa

NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa
Naamini kabisa likifanywa colabo la king Kiba na Darasa siku ya tar 24 leaders club,hio wasafi beach party watapigia viti tu
 
Wacha Maneno weka Mzikiiiii.....mshawishi msanii wako afanye Show Mkesha wa X-Mass
Wakati nyie mmeshajitangaza kwa kipindi kirefu halafu mnatoa wazo sasa? mngetoa tangazo kabla hamjaanza kutangaza show yenu ya kikundi, kuna mdau alikuwa na mpango wa kuandaa show ya Darasa pindi mtakapo sema tarehe yenu ya show mapema.
 
Wamechagua sehemu ndogo jangwani sea breeze ni padogo sana wakiingia watu mia tu panaonekana pamejaa ili watafute kick
Then wamechagua sehemu ambayo sio uswahilini si mngekuja Dar live muone kama kuna mtu angesogea au mngeenda leaders mngeona

Uamuzi wa mwisho inatakiwa show ya mtu mbili tu pale Taifa kwanza waanzie ulingoni wazichape pili waje kwa stage ndo hapo mtu fulani atamuamkia mwenzie.
 
Mshaanza excuses
 
Unataka kunambia diamond hajawai piga show apo darlive kaka haupo seriois
 
Back
Top Bottom