Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

20210516_110106.jpg
 
Nani akimbie,mashabiki wa Simba ni waelewa sana,Simba ni timu bora isipoku imezidiwa kimbinu,kwenye soka kuzidiwa ni kawaida sana tu.
Kumbu mkizidiwa nyie ndo halali, ila wengine wakizidiwa ni wabovu ee.
 
Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha


Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.

Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani upololo kati ya Simba na Yanga

Yanga pamoja na ubovu wake asingeweza kufungwa goli zote hizi.
View attachment 1786285View attachment 1786286
Acha tu bwashee, yaani zile kebehi, majigambo, kutembea kifua mbele na kujiona size yao Barcelona sijuwi kumepotea wapi?!
Hata mtaani hawaonekani pia!😀😃😄😆😅😅🤣😂
 
Back
Top Bottom