Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

hawaamini majicho
JamiiForums-1764214020.jpg
 
Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha

Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.

Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani upololo kati ya Simba na Yanga

Yanga pamoja na ubovu wake asingeweza kufungwa goli zote hizi.
Thiiiis is PAKAAAAAA....
 
Ni kama wale waliokuwa wanamdemkia Samia jana ila leo wakatapika mapialu yote
 
Wachambuzi waKitanzania wa mpira wa soka jana 14 May 2021

Walisema kuwa Kaizer Chiefs full maveterani hawana pumzi, sasa kipigo hiki kikali inabidi kujipanga upya
 
Back
Top Bottom