Mashabiki wa SIMBA wana lunyasi, tunaweza kumsaidia Mosze Phiri dhidi ya huyu kocha wa mchongo Robhati.

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
1,423
7,911
Wana jf kama kichwa kinavyojieleza, nafikiri huyu mzee keshaisahau ile nguvu ya mashabiki wa mnyama juu ya kile wanachokipenda.

Inaonekana huyu mzee sijui anabifu gana na Mosze mpaka game ya bonanza hampi nafasi akihofia atamuumbua kwa kandanda safi atakalolicheza.

Hivi kweli Mosze niwakuwekwa benchi na mzee saido?

Yaani mtaalamu Mosze anakaa benchi dakika 90 huku kibu akivumiliwa licha ya kushindwa kuonesha makeke?

Kweli kabisa onana nakigoli chake hicho cha bahati na mbwembwe za kisharobaro anamweka benchi Mosze?

Nasemajeee? Kama vepe mzee wa boli itembee apewe timu siyo huyu kocha mwenye wenge.

Kuelekea ngao ya jamii kule tanga, wana jf wenzangu na tunaoamini kabisa kuwa Mosze ni goal machine, tupaze sauti huku tukibeba mabango ya turudishie Mosze uwanjani mpaka yule mzee atie adabu.

Kampeni ianze sasa, nitakuwa mmoja kati ya watu watatu watakaokuwa wamebeba bango kubwa la kumtaka kocha atupe kile tunachokiamini.

Mwanzoni mwa msimu jana Mosze alitwambia atabeba kiatu cha dhahabu, ila ROBHATI????
 
Naunga mkono hoja. Kama sio majeruhi Phiri sio wa kuwekwa benchi na hao
 
Mwandiko wako na maudhui ya hoja yako hayana hata haja ya kuwa mtaalamu sana wa kusoma saikolojia ya maudhui ...wewe sio shabiki wa Simba hata kidogo.

Licha ya kutokuwa shabiki wa Simba bado analysis Yako haijakaa sawa hasa katika falsafa ya kocha na maamuzi ya kumtumia mchezaji wala Haina maana kwamba Robertinho anachuki na Moses hapana ila wakati tu haujafika wa kupewa nafasi ila muda ndiyo unatuongoza
 
Sawa semaji langu, ila kuhusu kuwekwa benchi moze hilo halina cha eti analys wala nn, wote tunaujua uwezo wa moze mpaka tunaingia makundi last seazon, mchango wa moze ulikuwa mkubwa mno.
 
Mwacheni kocha afanye kazi yake, mnaolalamika wengi wenu hata kadi za uanachama hamna sembuse kuchangia timu.
Hongera kwa kuchangia hoja, umeonekana na umejitahidi, makofi kwako mwanachama na mchangia timu.
 
Sawa semaji langu, ila kuhusu kuwekwa benchi moze hilo halina cha eti analys wala nn, wote tunaujua uwezo wa moze mpaka tunaingia makundi last seazon, mchango wa moze ulikuwa mkubwa mno.
Sijapinga na wala sitapinga kuhusu uwezo wa Moses ila bado tunatakiwa tujipe muda kwa kocha kwa msimu huu maana bado haujaanza ila kwa kuzungumzia mechi ya jana huwezi kutoa hoja ya kutaka kumgombanisha kocha na mchezaji
 
Sijataka, sitaki na sitotaka kumgombanisha mchezaji na kocha wake, ila kiukweli tu useme toka moyoni mwako, hivi saido niwakumkalisha nje Moze? rejea game za makundi mpaka robo final kocha alivokuwa anamkumbatia saido, hampumzishi hata kama anavurunda yumo tu.

Kama kweli wewe ni mwanamichezo utakumbuka mwishoni mwa msimu uliopita Moze aliomba kuondoka, ila viongozi wakatangaza kwamba wamewasuruhisha Moze na kocha hivyo atabaki klabuni, sasa unaposema nataka kuwagombanisha unanifikirisha.
 
Kwa hili la Moses Phiri hakina hakika mimi binafsi nimehuzunika sana ila ninachokiona Kocha Robertinho hana maisha marefu unyamani
Kiukweli asifikiri kuwafunga uto ndo tiketi yake ya kufanya atakavyo juu ya timu yetu!

Hivi kwani thank you ziliisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom