Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 678
- 308
Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba, wamezidiwa kwa makombe lakini bado wanatamba, ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na mechi nyingi zaidi ukilinganisha timu hizi mbili lakini bado wanatamba.
Ndio timu iliyonusurika kushuka daraja ikabebwa na mtani wake isishuke lakini bado wanatamba, ndio timu pekee duniani iliyowahi kupigwa kipigo cha mmbwa koko kipindi cha kwanza na wakaingia mitini katikati ya mechi bado wanatamba, wanashiriki shirikisho na wenzao walikua club bingwa lakini bado wanatamba, na kadhalika lakini bado wanatamba tuu.
Hawa mashabiki kuna kila namna itumike wapimwe uwezo wa kufikiri, yaani ukiwa kolo unawezaje kutibiwa kutoka kwenye ukolo.