Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,375
- 105,199
Sio kweliKuna mwehu anasema Samatta aliondolewa Villa kisa comments za wabongo kwenye page ya Villa
Hii ishu ya watu kuvamia kwenye pages za celebrities au Clubs huwa inatokea sehemu nyingi tu tena haifanywi na wabongo.
Mtazame Maguire kile kipindi alichokuwa akiandamwa kutokana na performance yake uwanjani mpaka akatishiwa usalama wake
Kwenye pages za Man U kila baada ya mechi wakipost tu watu walikuwa wakivamia posts na kumsema Maguire.
Maana yake hadi Man U ingeweza kuachana na Maguire kufuatia comments za watu kwenye pages za Club.
Na hizo ndio nyakati ambazo unaona hadi wachezaji wakipost chochote kwenge pages zao wana turn off comments.