February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Kama na wewe unashangaa basi na mimi acha nishangaeMM pia nashangaa sana...
Tushangae tuu mtaniKama na wewe unashangaa basi na mimi acha nishangae
Penati ilikuwa clear kabisa, vipi wewe mkuu leo upo timu gani France au Morocco?Tushangae tuu mtani
Watu wanabishana na VAR.. ..Penati ilikuwa clear kabisa, vipi wewe mkuu leo upo timu gani France au Morocco?
Hauwezi kubishana na hao watu wana kelele hao, Mbwiga akasome.Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi.
View attachment 2446266View attachment 2446267
Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika inabebwa, mfano ni jana ile penati.
Tunajua ndio penalty nyingi kwenye mpira huwa zinaleta debates lakini Pale ilikuwa clear kabisa, Kipa alimfata mchezaji na kumvaa na kumuwekea na mguu kabisa ili asipite.
Haijalishi kama angeupata au asingeupata maana lengo la Alvarez ilikuwa kumla kanzu na kumzunguka kipa.
Lile tendo hata lingefanyika nje ya box, ni faulo kabisa ile, ila utakuta mashabiki lialia wa Ronaldo wanasema Argentina inabebwa.
View attachment 2446264
Mpira haupo hivyo wazee, this is just a game, acheni uhasama na ushabiki maandazi. Mkifanya hivyo mnaharibu hata ladha ya mpira.
Leo mimi nipo na Wafaransa ila Morocco wakishinda nayo poa tu.Watu wanabishana na VAR.. ..
Mimi leo sipo Ufaransa wala sipo Morocco
Yaani kiufupi nipo nipo tuuu hahahaa
Mungu akusaidie asee. Mateso unayopitia ni makubwa mno!Timu Andunje mnaweweseka sana, kwani si mmeshaandaliwa na FIFA mbebe kombe lenu la dunia kwa mbeleko ili Andunje wenu toka Argentina asistaafu bila ya kuwa na tuzo ya ubora sawa na Pele?
Tunajua mvua inyeshe au jua liwake tuna penalties zetu za kutosha tu fainali Vs timu yoyote ile itayoingia [emoji1732][emoji1]
Miss wenu ana nini kwani hadi kila mechi ikiwa inachezwa anawazonga zonga Marefa kuongea nao, hajiamini au anawakumbushia bahasha walizotembezewa ili wasiwasahau kuwabeba Argentina [emoji848][emoji16]
Hizi ni chuki na ushabiki maandazi haifurahishiTimu Andunje mnaweweseka sana, kwani si mmeshaandaliwa na FIFA mbebe kombe lenu la dunia kwa mbeleko ili Andunje wenu toka Argentina asistaafu bila ya kuwa na tuzo ya ubora sawa na Pele?
Tunajua mvua inyeshe au jua liwake tuna penalties zetu za kutosha tu fainali Vs timu yoyote ile itayoingia [emoji1732][emoji1]
Miss wenu ana nini kwani hadi kila mechi ikiwa inachezwa anawazonga zonga Marefa kuongea nao, hajiamini au anawakumbushia bahasha walizotembezewa ili wasiwasahau kuwabeba Argentina [emoji848][emoji16]
Mashabiki wa Penaldo/Benchaldo mna visanga sana
Sisi ndo wale wa kambi popote ilimradi tunaeamtaka ka winLeo mimi nipo na Wafaransa ila Morocco wakishinda nayo poa tu.