Mashabiki wa MBEYA CITY FC

Teh,teh inaonyesha wakula kabisa tayari kwa kushangilia. Duu hayo matumbo!!
 
WAKATI TIMU YA Mbeya CITY AIJAPANDA DARAJA NA KUCHEZA LIGI KUU HAWA JAMAA HAWAKUWA NA VITAMBI KAMA SASAS INAONEKANA MAPATO YA MLANGONI NA UUZAJI WA JEZI ZAO ZIMEWANUFAISHA SAFI SANA MAJEMEDARI ZITUMIENI FURSA VIZURI KABLA AZIJAWA SHUBILI.
 
Sijajua hao mbeya city wamejipangaje mwakani, coz wachezaji wengi wa timu za mikoani huwa wanajituma ili wapate fursa za kuchezea Simba na Yanga. Sasa mwakani wachezaji wao mahili wakihama cjui wamejipangaje na hilo kwani kwenye maisha "dreams kwanza kisha ushabiki/uzalendo baadae"
 

...Naona Mbunge wa Jimbo la Mbeya anashangilia,go Mama...

...Kama timu zote za soka zingekuwa zinapata support toka kwa wananchi wa maeneo yao kama ilivyo kwa Wananchi wa Mbeya na Mbeya City yao basi soka ya Tanzania ingekuwa mbali sana...

...Lakini bado najiuliza,mbona Prison ya Mbeya haipendwi na wananchi haohao??je wananchi hawa hawaliona jeshi la Magereza kama ni sehemu yao??...
 
Kwa wale akina
Mwa,mwa mwa wanajua hii itakua ni mabumunda na matakapela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…