Mashabiki wa Mange Kimambi mmeshapata salamu za rambirambi toka kwake?

Tetemeko halikuletwa na serikali ya ccm,pia kivuko hakijazamishwa na serikali period! anyway R.I.P all innocent souls of lake zone and the lake islanders.!
ndiyo mliyobaki nayo na siku zinakwenda.....haziwasubiri 2020 is near by
 
Kuna watanzania walikuwa kila kukicha wao na Mange na Mange na wao katika kuitukana nakuikosoa Serikali kwa kila jambo sasa umetokea msiba mkubwa wataifa je huyo mdada wenu ameshawatumia hata salamu za rambirambi toka huko majuu?

Au naye ndo amewasusa baada ya nyie kumsusia maandama yake?
Inaonesha wewe ndo mfuasi wa huyo mange wako ndo maana unamkumbuka muda wote
 
Unataka umaarufu kupitia mange.. kwanza kabla haujauliza kumuhusu yeye,, je wewe umetoa rambirambi?????
 
Kuna watanzania walikuwa kila kukicha wao na Mange na Mange na wao katika kuitukana nakuikosoa Serikali kwa kila jambo sasa umetokea msiba mkubwa wataifa je huyo mdada wenu ameshawatumia hata salamu za rambirambi toka huko majuu?

Au naye ndo amewasusa baada ya nyie kumsusia maandama yake?
FANYA KAZI WEWEE
 
Wewe umetoa rambirambi kiasi gani?
 
Kuna watanzania walikuwa kila kukicha wao na Mange na Mange na wao katika kuitukana nakuikosoa Serikali kwa kila jambo sasa umetokea msiba mkubwa wataifa je huyo mdada wenu ameshawatumia hata salamu za rambirambi toka huko majuu?

Au naye ndo amewasusa baada ya nyie kumsusia maandama yake?

Mange anapata kiki kutokana na watu kama nyinyi, hana la msingi ila kila siku watu mnamwongelea
 
Natamani kuwepo na chuo cha kuwaandaa wale wote wanaotamani kuwa Wakuu wa Nchi hapo mbeleni. Ni jambo tata sana mtu kusimikwa Ukuu lakini mhusika akiwa hana maandalizi ya kazi hiyo.
Ni bora huyo asiandike chochote maana she is no body, lakini kitendo cha mkuu kuacha kwenda Ukerewe kwenye msiba mkubwa kama huo, huku akiacha kazi zake na kwenda kumpkea airport mtu mmoja ambaye alipata ajali achilia mbali kutuma ndege ya kumfuata mtu huyo mmoja kwenye eneo la ajari, linaleta ukakasi.
 
Yaan mm huwa nawashangaa sana baadh ya watu unakuja humu na akil zko timamu unaandika ujinga kbsa ambao hats kichaa hawez waza km huna kitu hats wazo pita km upepo
 
Vichaa vichaa ndio wanalamba teuzi.
 
Back
Top Bottom