kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
na epl nalo kombe la mbuzi? maana mpo nafac ya 7 huku timu kubwa zikiwa zinakabana koo top 4
dah...muwe na moyo wa huruma ... amechanganyikiwa huyu...na haya maswali ndo unazidi kumchanganya..
na epl nalo kombe la mbuzi? maana mpo nafac ya 7 huku timu kubwa zikiwa zinakabana koo top 4
uliona wapi kocha bora akatoka Everton?
kombe la mbuzi hilo ndo maana mara nying timu kubwa huwa zinatolewa km huamini subiri
Unajua mpira wa Uingereza au unashabikia tu? Waulize wenyewe wakuambie historia ya FA Cup..wewe baki kushabikia mpira wa makaratasi!:smash:
Ngoja nikupe historia ya FA CUP;
1.Kombe hilo ndo kombe la kwanza kabisa kuanzisha kwenye mashindano ya mpira wa miguu(1871-1872). Hakuna ligi ya mpira wa miguu inayoitangulia FA CUP kwa hiyo ..FA cup si 'kombe la mbuzi'
2. Man Utd ndiyo timu ambayo imechukua mara nyingi ubingwa wa FA Cup, kama lingekuwa kombe la mbuzi wasingekuwa wanaongoza kwa kulichukua mara nyingi:
3. Mwaka huu ni "mgumu" kwa Man Utd huo ni ukweli na hakuna ubishi.
Orodha ya Mabingwa wa FA Cup.
Man Utd = 11
Arsenal = 10
Spurs = 8
Chelsea = 7
Liverpool =7
Aston Villa = 7
Blackburn Rovers = 6
Everton = 5.
Mkuu ucumie kichwa kwa mashbiki wa 2010-2012,mpira una historia zake bhana
NiNGEKUWA MUIMBAJI. NINGEWAWEKEA WIMBO WA MSIKATE TAMAA AMININI MUNGUNYUPO
KWA WANAOSUBIRI MATOKEOA
SWAN......2
MAN U...1
Unajua mpira wa Uingereza au unashabikia tu? Waulize wenyewe wakuambie historia ya FA Cup..wewe baki kushabikia mpira wa makaratasi!:smash:
Hata mimi nilishangaa sana..hivi huyu moyes kawahi kuchukua kombe lolote na everton?sijui basis za kumpa ukocha man utd zilikiwa nini?
Hivi mwenye kombe ni nani? Haka ka msimu ni upepo mchafu umepita hapo tu
Sawia kabisaMbona mashabiki wa Liverpool na Arsenal hawakuhama? Tutaazima nyoyo ngumu za mashabiki wa Arsenal.