Wakubwa!
Washabiki tuliochagua timu nzuri ktk hali ya ushabiki tukajikuta tukiwa ktk wakati mguu na hali si hali nikakumbuka hili neno kwenye chata ya Club:
"YOU'LL NEVER WALK ALONE"
Maneno haya yananifarijigi Mi binafsi sana na ndiyo ikanifanya nikabaki ktk hali ya kuipenda Club yetu na kudumu ndani yake mpk hivi sasa tulielekea ktk kunyakua bila shaka vikombe viwili na kusaka nafasi ya kukipiga UEFA next season!
NINA SWALI JAMANI!
Hv mechi ya kesho tukichukua hilo komba la Calling,na tukawa nafasi ya 4 ktk msimamo wa leage kuu. Je? Itakuwa tunacheza UEFA kubwa na ndogo?
Nauliza hivyo kwa sababu pale Uingereza sheria yao ya soccer inampa nafasi bingwa wa Calling kucheza Uefa ndogo. Na sasa nina IMANI tunaweza kukwea nafasi ya 4 bila shaka.
Kwa anayejua vema hili atunyambulie itakuwaje!
Pamoja Wadau!!
mashabiki wote wa liverpool ni wajinga na wehu pia.
Mkuu liverpoolFC
Mfano liverpool wakimaliza kwenye top 4 kwenye league na wakashinda Carling Cup, watacheza Champions League na mshindi wa pili kwenye Carling Cup atacheza Europa League.
Ikiwa Liverpool atamaliza nafasi ya 5 au ya 6 kwenye league na akachukua kombe la Carling, atacheza Europa na mshindi wa pili kwenye Carling{ Cardiff} atacheza Europa League{ Kwasababu liverpool tayari watakuwa wame qualify moja kwa moja kupitia kwenye league}
ujinga wetu huko wapi? Aibu itakupata
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
mtashabikiaje timu linasupport ubaguzi!?
Mkubwa!
Kwa jina unalotumia,matamushi uliyotoa haifananini na jina unatumia!
Hebu rudia tena maneno yako!
unajua mashabiki wa liverpool waliniudhi kwenye ile issue ya Suarez, yaani pale ndipo nilipozidi kutoipenda liverpool. Kuna mchizi mmoja yeye anajiita mr liverpool Ezekiel Kamwaga, yeye ndio aliandika pumba zaidi, yaani yeye ndio mjinga na mwehu zaidi!
hakuna tatizo na nikweli kabisa na wewe si ndio MKUU WETU WA CHUO cha wajinga na wehu.
naomba kujua wewe ni mshabiki wa timu gani kabla sijaendelea
haturudi nyuma, suala la Suarez tumeshalimaliza kitambo. Yamebaki masaa 11
ok, nafikiri mkifungwa ndio itakuwa mzuka zaidi!
Manchester united, Old traford, theatre of dreams, capital of trophies mimi ndio niko hapo kwa the red devils.
Kila la kheri Liverpool
ok, nafikiri mkifungwa ndio itakuwa mzuka zaidi!
Game sa ngapi wakuu nisije kosa uhondo,cku nyingi cjaona wachezaji wet2 wakimwagiwa vimurimuri..
Duh! Asante mc kwa maneno haya unajionyesha wewe ni mkuu wa chuo cha aina gani.mashabiki wote wa liverpool ni wajinga na wehu pia.
Unaonyesha usivyoijua issue unayoiongelea! Sanasana utakuwa umekaririshwa tu... Na huyo mzungu wenu evra angeambiwa maneno hayohayo uliyowaita mashabiki wa Liver mngeanza makelele kuwa ametukanwa kwa sababu ni 'mzungu' maana akiitwa mwafrika hamtaki!!!unajua mashabiki wa liverpool waliniudhi kwenye ile issue ya Suarez, yaani pale ndipo nilipozidi kutoipenda liverpool. Kuna mchizi mmoja yeye anajiita mr liverpool Ezekiel Kamwaga, yeye ndio aliandika pumba zaidi, yaani yeye ndio mjinga na mwehu zaidi!