Mashabiki wa arsenal wahusishwa mlipuko wa bomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashabiki wa arsenal wahusishwa mlipuko wa bomu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kintiku, Feb 28, 2012.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Vijana watau walishikiliwa na polisi mjini Damascus baada ya mlipuko wa bomu uliowaua waandishi wawili wa kigeni wiki iliyopita. Ilikuwaje basi?

  Baada ya ule mlipuko mkubwa sana watu wengi walipiga mayowe na kukimbia kila mtu anavyoweza, wengi walipata mshtuko wa moyo na kuzirai. Lakini ajabu vijana hawa watatu hakukimbia wakabakia maeneo yale bila woga ki vile na wakaendelea na stori wakishangaa ule mlipuko.

  Baada ya hali kutulia polisi waliwaendea wale vijana na kuwaambia lazima wanahusika na ule mlipuko maana wao hawakustuka, kuzimia wala kupiga mayowe. Pia wananchi wengi wakawazonga wale vijana. Baada ya kuhojiwa wale vijana wakasema wao hawakushtuka na ule mlipuko kwa vile wao ni mashabiki wa timu ya Arsenal ya England eti mioyo yao imeshazoea milipuko. Ndugu polisi hebu fikiria timu yetu wiki hii inapigwa tatu bila wiki inayofuata inashinda tano sasa huo moyo si umeshazoea kupanda na kushuka- ndo maana sisi hatukushtuka. Polisi na wananchi waliokuwa wamewazunguka wakaishia kusema kumbe kuna faida ya kuwa shabiki wa The Gunners..................
   
 2. J

  Johnson2012 Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haichekeshi
   
 3. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polisi wawaachie huru hao mashabiki wa arsenal zao ni kujiua wenyewe na sio kuua wengine. wenye tabia ya kuua wengine ni mashabiki wa mansix united!! wananikera, mpira hawajui kazi kubebwa na marefa tu pumbaaaaaaaaaavu!!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  utachekaje na wkt una madeni chungu nzima!
   
Loading...