Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,358
- 8,499
Kiba zile za club ndo shoo zake anazostahili wala msimlaumu dada manager.
nilisema kabisa !KIBA NI KAMA YEYE NDO ANATAKIWA KUNUNUA KAZI ZA MASHABIKI WAKE!mi si shabiki wa matimu wimbo mzuri nasikiliza hata aimbe nani.. ila kiukweli alikiba ana pride sana anajiinua mno ,, na hajui umuhimu wa customer care yupo yupo tu, yani anajifanya yeye ni maji kama hutayaoga utayanywa any way ajirekebishe dunia sasa ni ushindani
Huyu jamaa bado kwenye soko la biashara yupo nyuma sananilisema kabisa !KIBA NI KAMA YEYE NDO ANATAKIWA KUNUNUA KAZI ZA MASHABIKI WAKE!