Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Wahenga walisema, "Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu". Edward keshawazidi Chadema,sasa anawadai kiujanja kwani uchaguzi wa uenyekiti ukifika atawaambia "ni zamu yetu" na hapo ndipo Masha kwa niaba ya Lowassa atakuwa mwenyekiti wa Chadema.
Naaum, Masha kajihalalishia "ukamanda" kiujanjaujanja".Ni wachache sana wataelewa hii.
Naaum, Masha kajihalalishia "ukamanda" kiujanjaujanja".Ni wachache sana wataelewa hii.