hivi ameoa? namtafuta kweli aisee kama una contact zake unipe au kama yupo humu ani pm
hivo ivo i like himuwii! na ww tena? atakulipua vibao tena hadharani! kweli mapenzi upofu,pita kwanza kwa shigongo akupe hadithi zake!sijui kama alishamalizana na mamnge kimambi huyu!
anakubalika sana kwa wabunge lakini hakubaliki kwa wananchi!!mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
It was so nice of him witnessing Wenje being kicked away out of the house,,,, what a wonderful moment!
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Huyu bwana si ndiye alingoa vitasa akabeba mapazia na vifaa kadhaa kutoka katika ofisi zake za zamani za wizara ya mambo ya ndani baada ya kubwagwa na mh. Wenje.Hayo aliyafanya baada ya kubaini kuwa uwaziri ameutema.. Walinzi mjengoni kaeni chonjo na wageni wa aina ya Masha uwezi kujua ataondoka na nini.
it was so nice of him witnessing wenje being kicked away out of the house,,,, what a wonderful moment!
wewe hujui huyo ni CCM mtandao --- CCJ kazi mnayo mwaka huu na Nape wenu mnamponza tu.Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
<br />Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Mara nyingi hii hupangwa kabla. Kazi ni kazi hata ukifiwa na huna ndugu wa kulia watu wapo kwa ajili ya kusherehesha majonzi yako kinachotakiwa ni pesa tu kwa ajili ya kazi hiyo.wako watakaolia pia
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Unachekesha sana kaka,, ile ilikuwa what people call "ajali ya kisiasa". The guy will bounce back, make no mistakes on dat one!umetumwa kumsafisha Masha? Kama anakubalika kwanini alimwagwa? hamna kitu pale
siyo lazima kam huna cha kuandika ulazimishe kuandika, maana thread yenyewe haina mshiko wowoteMh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa