Masha hapa anamaanisha nini? Je, Fastjet kurudi kama Afrijet?

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Hili ni swali ambalo kama umekuwa mdadisi wa maswali ya usafirishaji wa anga utakuwa unajiuliza!

hivi karibuni Mkurugenzi mkuu wa iliyokuwa FASTJET Lawrence Masha, katika ukurasa wake wa instagram amepost picha ambayo inaashiria kurudi kwa fastjet lakini kwa jina la AFRIJET!
1548759147431.png

Ikumbukwe hivi karibuni Tanzania Civil Aviation Authority iliifungia fastjet kutoa huduma zake hapa Tanzania lakini mwenyekiti mtendaji Lawrence Masha alisema FASTJET walikuwa tayari wamepata ndege zingine tatu kwaajili ya kusupport huduma za FASTJET!

Sisi wadau wa usafirishaji wa anga tunaikaribisha AFRIJET (ambayo imejikita kutoa huduma west africa) kwani tunaamini katika ushindani ndipo pana huduma bora!
 
View attachment 1007716

Ndo maanaaaaaaa
Aisee
Kumbeeeee!
Duh!
Mi nlidhani karudi kuleeee sababu anaunga mkono juhudi za mwenye juhudi
Kumbe alikuwa anaandaa mazingira ya kutosakamwa na kunyimwa ruhusa ya hivyo vipeperusha watu vyaoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ni aina ya sarakasi ya kukwepa kodi kwa serikali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Navo zani ilikuwa inamlazim maan kuna fastjet plc y UK ilio kuw inamilik fastjet tanzania before koo kwa namn moja au nyngne angebadl 2
 
Back
Top Bottom