Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chibingwa, Nov 1, 2010.

 1. C

  Chibingwa Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tunaomba asife ili ashuhudie mungu akiwapa haki waja wake
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ombea adui yako aishi siku nyingi.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 180
  Get well soon
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Duh kweli siasa ni mchezo mchafu!!!
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amepata mshituko baada ya kumwaga mabilino na kutoka mikono tupu
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Tunamuombea uhai, ile ubunge sio urithi tasavali. Awaachie walioshinda.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Monica Mbega naye hali yake kiafya si nzuri, helicopter inamuhamishia Dar
   
 9. v

  vickitah Senior Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Apone haraka aisee, maana inabidi tumwonyeshe hata yeye anaweza kuwa sio raia km vipi'
  Sasa bado mkweree, wapi ambulance Ikulu,
   
 10. shugri

  shugri Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu mnaamaanisha kuwa ameshidwa?
   
 11. k

  king ndeshi Senior Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WUMUWEKEE DRIP LA BANGI LIMPOTEZEE MAWAZO.:hippie:
   
 12. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,600
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Natazama! Tunamuombea apate nafuu haraka!
   
 13. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,435
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tuendelee kumuomba mungu asikie kilio cha Watanzania wanaotaka ukombozi wa nchi yao, nawapongeza sana wanaodhibiti uchakachuaji wa kura, tuko pamoja, safari hii mpaka kieleweke enough is enough jamani looh!
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,833
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  RIP(politically) Masha
   
 15. msikonge

  msikonge Senior Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na ndio bado! Huyu jamaa kwa kipindi cha miaka mitano tu amejitahidi kuwashawishi wananyamagana wamchukie, na kafanikiwa, sasa anahaha nini! Wenje yuko juu sana!
  Chadema oye!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,464
  Likes Received: 28,338
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa Mwanza wiki iliyopita na tathmini yangu ya juu juu ya kuongea na wananchi wa jiji la Mwanza ni kuwa jamaa alikuwa hakubaliki kabisa. Sasa habari kama hizi wala hazinishangazi...
   
 17. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
   
 18. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  OOOH GET WELL SOON uone matokeo yako na usaini kuyakubali
   
 19. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Polisi hawako wa kumlazimisha atie sahii? au polisi wanadhani bado ni bosi wao
   
 20. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,642
  Likes Received: 16,079
  Trophy Points: 280
  Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
   
Loading...